Chuo Kikuu cha maasai mara kufunga…


Mabewa kufungwa

NAIROBI, KENYA, CHUO Kikuu cha Maasai Mara
kimefunga mabewa yake matano kufuatia agizo la
Tume ya Elimu ya Juu mapema mwaka huu.
Chuo hicho kimefunga mabewa yake ya Kilgoris,
Nyandarua, Bomet, Kajiado na Kisii kufuatia sera ya
serikali kusitisha upanuzi wa vyuo bila mpangilio.
Chuo Kikuu cha Kisii vilevile kimewasilisha ratiba ya
mpango wake wa kufunga mabewa yake matano
miongoni mwa kumi iliyonayao. Mabewa ya Chuo hicho
katika miji ya Nyamira, Keroka na Ogembo yatafungwa.
Aidha, mabewa ya Kehancha, Isebania, Eldama Ravive
na Kabarnet yatajumuishwa kuwa mabewa mawili.
Januari mwaka huu Tume ya Elimu ya Juu ilikiagiza
chuo hicho kufungwa mabewa yake 10 agizo ililotakiwa
kutekeleza chini ya kipindi cha miaka 12.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s